Twaweza.org

Boresho la "Je, wanafanya kazi kwa ajili yetu?"

Mwezi Februari 2010, Uwazi walitoa chapisho lililoitwa “Je Wanafanya kazi kwa ajili yetu?”. Hili lilifunua ukweli juu ya uchangiaji wa mada wa wabunge katika mijadala kwenye vipindi mbalimbali bungeni tangu mwaka 2005 mpaka 2009. Boresho la toleo hili limejikita katika muhula wa 19 wa bunge ambao ulianza tar 13 mpaka 23 Aprili 2010. Bonyeza hapa kupakua ripoti hii (Kiingereza).

Endelea kusoma:

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri