Twaweza.org

Elimu inaanzia nyumbani

Matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya mwaka 2011 si ya kusubiri tena, yametangazwa mapema wiki hii. Kati ya watahiniwa waliofanya mitihani ya kidato cha nne nchini Tanzania, asilimia 53 wamefaulu, kwa mujibu wa gazeti la The Citizen. Idadi ya waliofaulu imeongezeka kidogo kuzidi ya 2010 ambapo asilimia 50.74 ya watahiniwa ndio waliofaulu. Kufuatia kutangazwa kwa matokeo hayo wadau wa elimu wamewataka wazazi kujihusisha na elimu ya watoto wao ili kuongeza ufaulu. Umesisitwa pia umuhimu wa ubora wa elimu badala tu ya vifaa na majengo. Soma zaidi.

Endelea kusoma: Elimu Tanzania

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri