Twaweza.org

ShujaazFM ndani ya The Economist

Tarehe 15 Desemba 2012 moja ya washirika wa Twaweza, ShujaazFM walitokea katika gazeti maarufu Duniani la ‘The Economist’. ShujaazFM wanajishughulisha na vipindi vya redio na kutengeneza vijarida zaidi ya 600,000 kila mwezi na kufikia zaidi ya vituo vya redio 17 kila siku kujadili maswala yanawayowagusa vijana wa Kenya. Kupitia uzoefu wa mhusika mpya katika vikaragosi aitwaye Titus Twist, ShujaazFM wanataka kuwapa watazamaji, wasomaji, wasikilizaji na mashabiki mawazo ya kuishi maisha endelevu katika Kenya leo. ShujaazFM wameshawafikia zaidi ya vijana millioni 20 wa Kenya katika kipindi kisichozidi miaka miwili. Soma zaidi.

Endelea kusoma: meta sticky

pakua nyaraka

Tafsiri

unaweza pia kupenda...

 

Tafsiri