Twaweza.org

Uwezo

Soma machapisho yaliyotolewa na Uwezo na kusambazwa kama nakala za kawaida na nakala za mtandaoni.

< iliyopita 12
9 makala
Sort by: Maoni |

Je, watoto wetu wanajifunza? Tathmini ya sita ya Uwezo Tanzania

Miongoni mwa watoto wenye umri wa miaka 9 hadi 13, wengi wao hawawezi kufanya majaribio ya kiwango cha darasa la 2. Pia kuna tofauti kubwa sana kiwilaya. Iringa Mjini, wilaya iliyofanya vizuri, asilimia 74 waliofaulu, kwa upande wa wilaya ya Sikonge, ni asilimia 15 pekee waliofaulu.

JiElimishe | Uhusiano kati ya matokeo ya kujifunza na utapiamlo

Takwimu mpya zilizotolewa na Uwezo (iliyopo Twaweza) zinaonesha uhusiano kati ya matokeo ya watoto ya kujifunza na utapiamlo.

Je, watoto wetu wanajifunza?

Baadhi ya watoto wa darasa la 7 hawawezi kufanya majaribio ya darasa la 2.

Je, watoto wetu wanajifunza?

Licha ya matarijio kuwa watoto wote wa darasa la 3 wangeweza kusoma Kiswahili na Kiingereza, pamoja na kufanya hesabu rahisi za darasa la pili, ripoti mpya ya utafiti inaonesha kuwa ni wanafunzi wachache mno wenye uwezo huo.

Uwezo Tanzania 2011: Watoto wetu bado hawajifunzi

Mwaka uliopita, Uwezo ilifanya utafiti nchi nzima kupata picha halisi ya namna watoto wetu wanavyojifunza katika ngazi ya elimu ya msingi. Zaidi ya watoto 40,000 kutoka kaya 20,000 na wilaya 38 za Tanzania Bara walishiriki kwenye zoezi hilo. Huu ulikuwa ni utafiti mkubwa na wa aina yake nchini. Mwaka mmoja baadae... Nini kimebadilika? Je watoto wetu wanajifunza zaidi?

Je Watoto Wetu Wanajifunza? Kuhesabu na Kusoma Katika Afrika Mashariki

Uwezo Yatoa Ripoti ya Afrika Mashariki

< iliyopita 12
9 makala
Sort by: Maoni |

zinazotumwa katika RSS

 

Tafsiri